Staga Nikimedi Lyrics

Ethic Entertainment Lyrics

You are viewing Staga Nikimedi Lyrics - Ethic Entertainment

Staga Nikimedi song lyrics are written by Ethic Entertainment

Complete information about Staga Nikimedi lyrics

Selected song name: Staga Nikimedi
Singer Name: Ethic Entertainment
Lyrics written by: Ethic Entertainment

You can see all the lyrics of Ethic Entertainment songs at rare-lyrics.com
Waiter ova ma-ova
Guza mkoba ma-ova
Guza nka una cha gova
Nitaendea ova kwa gova


Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi


Ati staga nastaga nikimedi
Juu ya maji umededi ama tu umebleki
Na umenoki Wendy ama pia na Becky, sawa
Ngoja nianze kukata keki, nawa
We ni ka kabambe ju jo hauna cla**
Mi niko na money nipate kwa bar
Cheki ni funny umevaa kama fyat
Fyatu Mathare baadae ni fun


Hii wikendi naskia kukata ka keki
Naskia kukata bado henny
Pime peddy round moja aniseti
Piri we mrazi pigwa ting' ting'
Ye ni diva na anakatika na chupi
Ringi keroma haweki chumvi
Zikishika mi nawashanga ki hoodi
Ringi Keroma haweki chumvi


Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi


Penda, mi napenda vile baze tu ubweka
Nipe chingri tujilipue tena
Na kiPipu tutachafua tena
Kenya na Pipu Doni pewa
Ka we unatoka Kariakor
Medi seti twendee form
Chain madancey ndo ati mtaa
Hii ndo base tu sing along


Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi


Waiter ova maova
Guza mkoba maova
Guza nka una cha gova
Nitaendea ova kwa gova


Ati avocado kwa dibre
Avocado kwa gith
Avocado kwa mixer
Avocado kwa jing
Avocado after gym
Avocado za green
Avocado kwa meal
Before meal, after meal


Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi


Ambapo anapendanga madeni
Ka ni kukata anakatanga ma-henny henny
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi
Mi ujali ganji na ladies
Mi ujali money so nataka many many
Staga nastaga nikimedi medi
Staga nastaga nikimedi medi


Avocado kwa dibre
Avocado kwa gheede
Ati avocado kwa mixer
Avocado kwa jing
Avocado after gym
Avocado za green
Avocado kwa meal
Before meal, after meal